Skip to main content
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nzega Bw.Amos Kanuda

Wananchi wa Tabora watakiwa kulima mazao yanayohimili ukame

Chama cha Mapinduzi ( CCM)  wilaya ya nzega mkoani tabora kimewetaka wananchi kulima mazao yanayo himili ukame ilikukabiliana na baa la njaa linaloweza kujitokeza.

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya Amos Majile ametoa kauli hiyo katika kijiji cha Mwamalulu kata ya nata baada ya kuona hali ukame imekithili.

Amesema kuwa chama cha mapinduzi hakikotayari kuona wananchi wake wanapata njaa badala yake wajihami kwa kulima mazao yanayohimili ukame ilikuweza kukabiliana na baa hilo.

Amewataka viongozi wa serikali kuhakikisha wana hamasisha wananchi kulima mazao hayo kikamilifu kwa kufuata taratibu za kilimo ili waweze kupata mazao mengi

 

Add new comment

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Web page addresses and email addresses turn into links automatically.