The Sound Of Africa
Saturday May 19th 2012

Interesting Sites

Insider

Archives

Presenters

Reader Feedback

25 Responses to “Presenters”

  1. Mariam says:

    Uncle SAM noma kichizi

  2. Kijukuu cha bibi k says:

    Daaaah picha ziko poa sana,Ila badilisheni maana asilimia kubwa tunajua hawapo hapo,Wekeni picha za waliopo sasa,hao wazamani watoeni.

  3. Jeremia says:

    Ninaipenda sana Radio Free Africa na Kiss FM.Hii ni kutokana na aina ya vipindi na mpangilio wake kwa ujumla.Tatizo lililopo ni kuwa, kwa hapa Iringa mjini radio hizi zinapotea mara kwa mara, na zinachukua muda mrefu sana kurudi hewani. Ni muda mrefu sasa hazipo hewani. Je, tatizo huwa ni kitu gani?Ahsante

  4. HIDAN says:

    Greetings from me…
    I would like to send my congrats to SEARCH LINE Presenter… the one and only….with gorgeous and sexy voice….RAHAB………….keep it up………..and please drop some lines 4 me………thanks………….
    0715 019288……….

  5. Rich says:

    Hongereni Sahara ltd.

  6. Nick Mwandu says:

    I like RFA niko songea mbali na nyumbani lakini nikisikiliza naona kama niko kanda ya ziwa. RFA is my friend ila tunaomba KISS FM songea au mnaweza kuiweka kwa internet tuinase tusiotumia dish

  7. Alphonso says:

    Big saluteeee……!! 2 RFA presenters

  8. dick herman says:

    nawafagilia na nawapenda mnatisha kama umeme si mnajua umeme auguswi ovyo basi nanyi amguswi na wasiojua wengine hata kidogo kazeni buti na ongezeni ubunifu na hakika mungu atawabaliki katika hilo.

  9. Stephen says:

    Napenda tu sauti ya Erica Elias.Napenda uchangamfu wake.

  10. Mwajabu kissinga says:

    Nawapata nikiwa Nairobi,mnanifanya nijisikie niko mwz.

  11. urio k faraja says:

    Kwel rfa mkojuu sana hongera kwa watangazaji wote ila mbona sasaiv weekend feva ya jumamosin imedorora nawaomba muiboreshe kama mwanzo au hakuna prezenta anaye kiweza hicho kipindi.pamojaaaaaa sana big up kwa sky wize

  12. john j. temba says:

    Mmmmhhhh!!!!! combi ya felister na fredwaa kiboko.mpaka nasahau lecture time.hasa kicheko cha felister na sura yake hapa ni tofauti kabisa.kazi njema

  13. MATHAYO KIVINGA says:

    RFA MNAFANANISHWA NA MLIMA KILIMANJARO MPO JUU

  14. Rich Da Boy says:

    Hi
    Ebwana mbona ny imbo zangu natuma studio kwenu lakini hamtaki kupiga
    au mnaubaguzi wa kinjinsia
    so ishu jamani nasisi tuna hitaji kufikisha ujumbe kwa jamii
    good day

  15. LAUSON MGANI says:

    RFA NA KISS FM, WAKAZI WA IRINGA TUNAOMBA UONGOZI UTATUE TATIZO LA KUTOPATIKANA MKOANI IRIGA. PIA KISS FM HAIFIKI VIJIJINI KAMA RFA, TUNAOMBA MUONGEZE NGUVU.

  16. Jonas says:

    Napenda sana kusikiliza rfa.ila kwa muda mrefu sijamsikia fred fiderilis kwny vipindi vyake.yupo wapi huyu mheshimiwa?napenda sana namna anavyotangaza.naomba mnijuze.

  17. SAID NASSOR says:

    Big up to all RFA presenters kwwan mnajitahid sana kutupasha habari bila woga na kwa ustadi na umakin mkbwa mkizingatia maadili ya uandishi na upashaji wa habari.

  18. wito msafiri says:

    kwakweli RFA ni zaidi ya radio kama kusikika hakuna shaka, kunaredio moja ipo kama mita100 toka home ila haisikiki zaidi ya RFA ambayo ipo zaidi ya km 400

  19. ruth simon says:

    dah!!!!!! RFA hamshikiki

  20. james says:

    duh! r.f.a mnatisha

  21. HILARY J. BALILEMWA says:

    I LIKE THE WAY YOUR RADIO PROGRAMS ARE ORGANISED. KEEP IT UP. MAY U ADD MORE TIME ON SHOW TIME AND ADD MORE CREATIVITY ON BONANZA 2. EVERYTHING IS OK AND MAY U CONTINUE EDUCATING THE TANZANIANS AND ALL THE LISTENERS OF RFA. HI 2 UNCLE SAM AND G. ROBINSON PLUS KID BWAY

  22. mdau wa manispaa iringa says:

    kwa leo rfa naona mambo poa huku iringa tunawapata kama zamani muendelee hivyo hivyo

  23. Michael kabota says:

    jamani jamani RFA na Kiss FM mimi nilidhani nipo peke yangu ninae lalamika kuwa hampatikani nyanda za juu kusini kumbe tupo wengi!!! Huku iringa tuna miezi karibu mitatu hazipo hewani na hii sio mara moja kila mara zinakata tatizo ni nini?? Tunaomba mtujali na sisi kama mikoa mingine!! keep it up hizo ni radio babu kubwa nchini kupotea hewani mnatusikitisha wasikilizaji

  24. Saidi Jafari Ndauka says:

    Natumia fursa hii kuipongeza Kampuni ya Sahara Communications inayomiliki vyombo vya habari vilivyo na habari za uhakika kabisa kama vile Radio Free Africa nchini kote. Hili ni jambo zuri sana kwani kila sehemu uendayo hapa Tanzania, RFA ipo nawe. Hata hivyo Kampuni hii ina chombo cha habari kingine Kiss fm ambacho kinatoa habari za kimataifa na burudani saa 24 siku saba za wiki. Mimi ni mdau sana wa chombo hiki, nasikitika sana kuona kiss fm haisikiki Songea Mjini bali inasikika kupitia Satelite, nauomba uongozi wa Sahara Communications ulifikirie suala hili ili nasi wadau wa Kiss fm mikoani kama Ruvuma tupate matangazo ya radio hii.

  25. Justin Rugeiyamu says:

    Kwa nini siku hizi RFA na KISS FM hazisikiki Mkoa wa Iringa?

Leave a Reply