Skip to main content
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela

Ofisi ya katibu tawala Mkoa Mwanza yatakiwa kuwachukua wafanyikazi sita kutoka chuo cha Mirongo

Ofisi ya katibu tawala Mkoa wa Mwanza imetakiwa kuwachukua wafanyakazi tisa waliokuwa wakifanya kazi katika chuo cha ufundi Mirongo na kupangiwa kazi nyingine.

Mkuu wa Mkoa huo John Mongela ametoa agizo hilo baada ya kutembelea chuo hicho na kubaini wafanyakazi hao hawana majukumu ya kufanya tangu mwaka 2011 baada ya chuo hicho kufungwa.

Mkoani umeanza mkakati kukifufua chuo hicho ambacho kimetelekezwa.

Chuo cha ufundi cha Mirongo kilianzishwa mwaka 1988 kilikuwa kikitoa mafunzo ya ufundi selemala, ushonaji nguo kwa watu wenye ulemavu lakini mwaka 2011 chuo hicho kilifungwa kutokana na kukosa sifa.

Add new comment

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Web page addresses and email addresses turn into links automatically.