Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Bw. Dietlof Mare (kushoto) akikabidhi funguo ya gari aina ya Hyundai i10 kwa mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel mara baada ya kunyakua taji la urembo huo usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar. Wa kwanza kuume ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk Ladslaus Komba akifuatiwa na Mkurugenzi wa Shivacom, Bw. Tanil Somaiya
Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel (kati) akiwa na mshindi wa pili Glory Mwanga (kushoto) na Consolata Lukosi.
tano bora.
kumi bora.
Saturday May 19th 2012










